JavaScript is required
Relief and recovery support is available for people impacted by the January 2026 Victorian bushfires.
Visit Emergency Recovery Victoria

Are you Covered - Swahili

Nyumba yako inalinda salama yako, lakini nini itatokea kama kuna kitu kitaenda vibaya?

Moto wa misitu, dhoruba na mafuriko huweza kutokea wakati wowote.

Je, bima yako itakulipa?

Je, bima yako hulipia kwa mafuriko?

Je, bima italipia kwa mahali pa kukaa kama nyumba yako itaharibika?

Je, italipia gharama kamili ya kujenga tena?

Je, italipia gharama ya kusafisha baada ya janga kutokea?

Watu wengi hawajui vitu ambavyo bima zao hugharamia.

Angalia bima yako leo. Tovuti yetu iinarahisisha kuelewa bora zaidi hatari yako, malipo ambayo bima itakupa, na jinsi ya kudai.

Je, huna hakika juu ya maelezo? Ushauri wa kisheria bila malipo unapatikana kwa vituo vya kisheria ya jumuiya ya karibu.

Mtoaji wako wa bima anaweza pia kupanga mkalimani ili kusaidia kueleza sera yako.

Angalia bima yako kabla ya janga kutokea. Tembelea AreYouCovered.vic.gov.au kupata maelezo zaidi kuhusu kupata bima sahihi kwa nyumba yako.

Mwongozo unapatikana katika Kiswahili ili kukusaidia.

Updated