Kuwa na ndoto kubwa, watoto wetu wanahitaji mwanzo bora zaidi maishani. Ndio maana Serikali ya Victoria iko katika hatua ya:
- Kuwafanya watoto wa miaka mitatu na minne kutokulipa katika jimbo lote kuanzia 2023
- Kuwasilisha mwaka mpya wa Maandalizi ya Jumla kwa watoto wa miaka minne
- Kuanzisha vituo 50 vya kulea watoto vinavyomilikiwa na serikali katika muda wa miaka kumi ijayo.
Hii ni pamoja na kuendelea kuzindua Shule ya Chekechea ya watoto wa Miaka Mitatu.
Reviewed 22 September 2023